Naaam wajumbe, kama mnavyojua terehe 8/8/2010 sikuya wa wakulima jumapili tutakuwa na kikao kingine muhimu sana na kama mnavyojua agenda kubwa itakuwa ni kujadili suala zima la kuwa na katiba ya FABOA.
Mnaombwa sana kuhudhuria bila kukosa kwani kuwepo kwako ndio mafanikio na maendeleo ya kikundi chetu.
Nawatakia siku njema na wikiend njema kila ufanyalo likaende kuwa kama moyo wako upendavyo.!
NAOMBA KUWASILISHA...
No comments:
Post a Comment