Friday, August 27, 2010
Thursday, August 19, 2010
Monday, August 16, 2010
NDIO FABOA.....
ndio wajumbe ni vp, niaje... jana tulikuwa na kikao kama kawaida na wanachama walifika kwa wakati na kikao kilienda vizuri huku ule mwongozo wetu ukihaririwa kwa umakini mkubwa kabla ya kuanza kutuongoza.
Tulifanikiwa kuuhariri vizuri na tukakubaliana kwamba kikao kijacho tufanye tarehe 5/09/2010 muda wa saa sita na nusu mchana sehemu ikiwa ni lunchtim.
Tulifanikiwa kuuhariri vizuri na tukakubaliana kwamba kikao kijacho tufanye tarehe 5/09/2010 muda wa saa sita na nusu mchana sehemu ikiwa ni lunchtim.
Monday, August 9, 2010
WADAU WA FABOA KATIKA POZI
Wajumbe wakiwa kwenye kikao wako makini kushinda maelezo.
kutoka kushoto--Luckford, Goodluck, John, Stewart, Sivanus, Moses na Kisekemi.
kutoka kushoto--Luckford, Rumisha, John, Stewart, Sivanus, Moses na Kisekemi.
YATOKANAYO NA KIKAO:
kumekucha wajumbe.. ni siku nyingine tena aliyoifanya Mungu imempendeza tuione baada ya wikiend nzuri iliyokuwa na kila aina ya bashasha na Baraka tele makofi mengi-mengi basi!!!!!
ndugu wajumbe, jana tullifanya kikao kama tulivyokuwa tumeazimia na agenda kubwa na kuu ilikuwa ni kujadili na kutengeneza katiba ambayo itatuongoza katika kuendesha kikundi chetu kwa weledi mkubwa.
WAJUMBE WALIOHUDHURIA KIKAO:
MOSES MSEMO
STEWART CHILOLO
RUMISHA META
KISEKEMI EPHRAIM
SILVANUS CHANGWA
JOHN NKUNGU
GOODLUCK MURO
LUCKFORD DIDAS
kikao kilienda vizuri kila mjumbe akionyesha utulivu katika kuhakikisha kwamba malengo ya kuwa na katiba bora yanafikiwa ipasavyo.
tulifanikiwa kuitengeneza katiba huku Katibu akipewa jukumu la kwenda kuichapa na kuja nakala za kutosha za wajumbe wote ili tuifanyie uhakiki wa mwisho kabla ya kuipa katiba mamlaka ili ituongoze.
KIKAO KIJACHO NI TAREHE 15/08.2010;
Nawasilisha.
Friday, August 6, 2010
KIKAO WAJUMBE....
Naaam wajumbe, kama mnavyojua terehe 8/8/2010 sikuya wa wakulima jumapili tutakuwa na kikao kingine muhimu sana na kama mnavyojua agenda kubwa itakuwa ni kujadili suala zima la kuwa na katiba ya FABOA.
Mnaombwa sana kuhudhuria bila kukosa kwani kuwepo kwako ndio mafanikio na maendeleo ya kikundi chetu.
Nawatakia siku njema na wikiend njema kila ufanyalo likaende kuwa kama moyo wako upendavyo.!
NAOMBA KUWASILISHA...
Mnaombwa sana kuhudhuria bila kukosa kwani kuwepo kwako ndio mafanikio na maendeleo ya kikundi chetu.
Nawatakia siku njema na wikiend njema kila ufanyalo likaende kuwa kama moyo wako upendavyo.!
NAOMBA KUWASILISHA...
Thursday, August 5, 2010
...........The World is a Beautiful Place............
if you don't mind happiness
not always being
so very much fun
if you don't mind a touch of hell
now and then
just when everything is fine
because even in heaven
they don't sing
all the time
The world is a beautiful place
to be born into
if you don't mind some people dying
all the time
or maybe only starving
some of the time
which isn't half bad
if it isn't you
Oh the world is a beautiful place
to be born into
if you don't much mind
a few dead minds
in the higher places
or a bomb or two
now and then
in your up
turned faces
or such other improprieties
as our Name Brand society
is prey towith its men of distinction
and its men of extinction
and its priest
sand other patrol
men
and its various segregation
sand congressional investigation
sand other constipations
that our fool flesh
is heir toYes the world is the best place of all
for a lot of such things as making the fun
sceneand making the love scene
and making the sad scene
and singing low songs and having inspiration
sand walking around
looking at everything
and smelling flower
sand goosing statue
sand even thinking
and kissing people and
making babies and wearing pant
sand waving hats and
dancing
and going swimming in river
son picnics
in the middle of the summer
and just generally'living it up'
Yes
but then right in the middle
of it comes the smiling
mortician
Tuesday, August 3, 2010
KIKAO CHA TAREHE 08 AGOSTI...
NDIO WAJUMBE SINA PASI NA SHAKA WOTE NI WAZIMA KABISA IKIZINGIZATIWA KWAMBA ALIYE JUU ANATULINDA KILA SIKU PASIPO KUSINZIA WALA KULALA.
SASA WAJUMBE KIKAO KIJACHO NI TAREHE 08 AGOSTI 2010 SAA SITA NA NUSU MCHANA, SIKU YA JUMAPILI, MNAOMBWA SANA MSIKOSE ILI TUJADILI SUALA LA KATIBA PAMOJA KWA UMOJA.
NAWATAKIA SIKU NJEMA WAJUMBE!
Subscribe to:
Posts (Atom)