Sunday, March 6, 2011

AGENDA

  1. KUHUSU LOGO
TUNAMSHUKURU SANA BWANA KABALI KWA KUKAMILISHA ZOEZI ZIMA LA LOGO YA FAMILIA BORA...TUNAOMBA KIKAO KIJACHO TUJITAHIDI KUFIKA KWA WINGI ILI TUWEZE KUIONA IYO LOGO NA KUTOA MAPENDEKEZO KAMA YATAKUEPO

   2.  KUHUSU T-SHIRTS
TUNAMSHUKURU BWANA LACKFORD KWA KUMLETA MGENI AMBAYE AMETUPA MWANGAZA KIDOGO JUU YA MRADI WETU HUU WA MA T-SHIRT TUNAOMBA WAJUMBE MJITAHIDI KIKAO KIJACHO HILI TUWEZE KUFANIKISHA SHUGHULI HII KWA HARAKA

   3.  USAJILI WA KIKUNDI
TUNASIKITIKA SWALA LA USJILI LIMECHELEWA KIDOGO KUTOKANA NA MAMBO YALIYO JUU YA UWEZO BILA SHAKA TUTAPATA MAJIBU MAZURI KIKAO KIJACHO

   4.  KUHUSU ERICK
CHAMA KINAYOFURAHA KUMLUDISHA MWANACHAMA MWENZAO KUNDINI...TUNAOMBA USHIRIKIANO HUO UENDELEE ATA KWA SIKU ZA USONI

1 comment:

rumisha said...

safi sana mjumbe kwa kutupa muhtasari kwa kikao... safi sana.