NAPENDA KUTOA SALAM ZA POLE KWA WASHABIKI WOTE WA TIMU KICHAA YA MANCHESTER UTD KWA KIPIGO CHA AIBU CHA MAGOLI 3-1 NA TIMU KIBONDE WA ARSENAL LIVERPOOL FC
POLENI SANA NDUGU ZETU NAJUA HAMKUA NA CKU NZURI APO JANA
JIANDAENI KWA KIPIGO KINGINE APO JUMAMOSI FA KATI YA MAN U NA ARSENAL
1 comment:
naungana na wewe kutoa salamu za pole kwa mashetani wabovu, ka wamefungwa na liverpool itakuwaje watakapokutana na stoke city si watafungwa mkono!!! 5.....
Post a Comment