Thursday, December 1, 2011

--PAMOJA TUTAKULA MEMA YA NCHI - -




Mambo vp wadau wa FABOA mnaendeleaje na shughuli za kila siku za ujenzi wa taifa letu, ni matumaini yangu hamjambo kabisa na kila kitu kinakwenda vizuri au vp . .ni jambo la furaha sana  huku wengine wakiitwa Baba wengine wameshatangaza nia na wengine wapo kwenye vitengo mbalimbali, thats good, Mungu anatupenda na anaipenda FABOA!

Sasa wadau, mwaka ndio huu unaisha na kwa kipindi chote kuanzia mwaka umeanza FABOA haijafanya jambo lolote la kujivunia kiukweli sijui tumshike nani kengele nadhani hakuna coz kila mtu alikuwa very busy with itz own stuff,. kama tulivyopeana taarifa kuhusu kikao cha jumapili hii tarehe 04 Disemba 2011 mnaombwa mfike bila kukosa ili tuzungumze kwa kina mustakabali mzima wa FABOA yetu kwani we stil have time to remake and rebirth it again, , tafadhali fika bila kukosa kwani kufika kwako ndio mafanikio ya FABOA.

Naomba kuwasilisha. Asante.

Wednesday, August 24, 2011

Samir Nasri: Exclusive interview part one

Samir Nasri: Exclusive interview part one

Nasri huyo Man city, Swali la leo . . hivi Wenger anaitakia mema ARSENAL?????????????????????????????




hello guys,
hope you all doing great out there au vp!, you know what guys life is full of challenge and we cant go smooth without take time to analyse our daily life how we do things, our decision making and so forth.
so i think what is needed to make sure we enjoy every second we get is to always have clear conscious and to live the life that meet our standard rather than to live somebody life. . bare in mind that God create us unique and he love to see we live accordingly to his glory not our own ways.!
thats for now guys,  u can add on yo comment and share yours.

have a wonderful day filled with love, peace and hope. be blessed.!

Wednesday, June 15, 2011

AMKA FABOA!

habari zetu waungwana, bila shaka mu  wazima wa afya tele au sio..
baada ya kukaa kipindi kirefu bila ya kufanya kikao chochote, sasa imefikia muda wa kuamka tena na kujua hatma ya kundi letu,  hivyo basi tukutane JUMAPILI hii tarehe 19 juni palepale kunch time tutajidiliane nini cha kufanya kuhakikisha kwamba malengo tuliyojiwekea tunayafanikisha kwa mafanikio makubwa.!

nawatakia  maisha mema. Mungu awabariki.!

Tuesday, June 14, 2011

Wednesday, June 8, 2011

HABAAAAAARI !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

WADAU MPO MBONA MMESIZI SANA.. . . ..
POLENI SANA MASHABIKI WOTE MANCHESTER UNITED.... MZEE MWENYEWE MURO POLE KAKA.

Monday, March 7, 2011

SALAM ZA POLE

NAPENDA KUTOA SALAM ZA POLE KWA WASHABIKI WOTE WA TIMU KICHAA YA MANCHESTER UTD KWA KIPIGO CHA AIBU CHA MAGOLI 3-1 NA TIMU KIBONDE WA ARSENAL LIVERPOOL FC
POLENI SANA NDUGU ZETU NAJUA HAMKUA NA CKU NZURI APO JANA
JIANDAENI KWA KIPIGO KINGINE APO JUMAMOSI FA KATI YA MAN U NA ARSENAL

Sunday, March 6, 2011

WALIOUDHULIA KWENYE KIKAO TAREHE 06/03/2011

  1. STEWART
  2. RUMISHA
  3. ERIC
  4. KABALI
  5. JOHN
  6. LACKFORD
  7. MASAI
  8. SILVA
  9. MZEE WA MATELEPHONE(MAN U)

AGENDA

  1. KUHUSU LOGO
TUNAMSHUKURU SANA BWANA KABALI KWA KUKAMILISHA ZOEZI ZIMA LA LOGO YA FAMILIA BORA...TUNAOMBA KIKAO KIJACHO TUJITAHIDI KUFIKA KWA WINGI ILI TUWEZE KUIONA IYO LOGO NA KUTOA MAPENDEKEZO KAMA YATAKUEPO

   2.  KUHUSU T-SHIRTS
TUNAMSHUKURU BWANA LACKFORD KWA KUMLETA MGENI AMBAYE AMETUPA MWANGAZA KIDOGO JUU YA MRADI WETU HUU WA MA T-SHIRT TUNAOMBA WAJUMBE MJITAHIDI KIKAO KIJACHO HILI TUWEZE KUFANIKISHA SHUGHULI HII KWA HARAKA

   3.  USAJILI WA KIKUNDI
TUNASIKITIKA SWALA LA USJILI LIMECHELEWA KIDOGO KUTOKANA NA MAMBO YALIYO JUU YA UWEZO BILA SHAKA TUTAPATA MAJIBU MAZURI KIKAO KIJACHO

   4.  KUHUSU ERICK
CHAMA KINAYOFURAHA KUMLUDISHA MWANACHAMA MWENZAO KUNDINI...TUNAOMBA USHIRIKIANO HUO UENDELEE ATA KWA SIKU ZA USONI

KIKAO CHA JUMAPILI YA TAREHE 6/03/2011

WAJUMBE WALIITAHIDI KUFIKA KWA WINGI SANA TUNASHUKURU KWA HILO