habari zetu waungwana, bila shaka mu wazima wa afya tele au sio..
baada ya kukaa kipindi kirefu bila ya kufanya kikao chochote, sasa imefikia muda wa kuamka tena na kujua hatma ya kundi letu, hivyo basi tukutane JUMAPILI hii tarehe 19 juni palepale kunch time tutajidiliane nini cha kufanya kuhakikisha kwamba malengo tuliyojiwekea tunayafanikisha kwa mafanikio makubwa.!
nawatakia maisha mema. Mungu awabariki.!
No comments:
Post a Comment