Monday, July 26, 2010

YAH: KIKAO

ASALAM NDUGU WAJUMBE...

jana tare25 kikao chetu hakikuweza kufanyika kutokana na kwamba wajumbe wengi walishindwa kufika kwa sababu mbalimbali.

WALIOHUDHURIA:
MOSES MSEMO
STEWART CHILOLO
RUMISHA META
JOHN NKUNGU
BRIAN MUZE
GOODLUCK MURO

tuliona vema kikao kijacho kiwe tarehe 8/08/2010 ili tuwepo pamoja katika kujadili suala zima la katiba.

vilevile tulipata barua ya FABOA kutoka kanisa la mavurunza iliyowasilishwa na mjumbe Rumisha Meta ambayo inahusu mwaliko wa sikukuu ya vijana ambayo itafanyika tarehe 1/08/2010 lengo la sikukuu likiwa ni kuchangia kwaya ya vijana waweze kurekodi album.

hivyo basi tulikubaliana kwamba kila mjumbe achange tsh5000 ili kusaidia kazi ya Mungu isonge mbele, na mchango huo uwasilishwe katika kikao kijacho cha tarehe 8/8/2010.

AMANI KWENU WAUNGWANA....

No comments: