naam wajumbe sina pasi na shaka ni wazima wa afya tele na mnaendelea vizuri katika kufanikisha maisha bora yanafikiwa kwa kila hali au vp!
nafuraha tele ndugu wajumbe kuwajulisha kwamba tumefanikiwa kufungua blog yetu ambayo itatusaidia katika suala zima la teknolojia habari na mawasiliano yaani (TEKNOHAMA).
haya wajumbe tuseme nini basi Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye upande wetu twende pamoja bila kuchoka mbele daima nyuma mwiko..!
kikao kijacho tarehe 25/07/2010 so tusikose ndugu wajumbe.
No comments:
Post a Comment