Wednesday, July 28, 2010

Monday, July 26, 2010

YAH: KIKAO

ASALAM NDUGU WAJUMBE...

jana tare25 kikao chetu hakikuweza kufanyika kutokana na kwamba wajumbe wengi walishindwa kufika kwa sababu mbalimbali.

WALIOHUDHURIA:
MOSES MSEMO
STEWART CHILOLO
RUMISHA META
JOHN NKUNGU
BRIAN MUZE
GOODLUCK MURO

tuliona vema kikao kijacho kiwe tarehe 8/08/2010 ili tuwepo pamoja katika kujadili suala zima la katiba.

vilevile tulipata barua ya FABOA kutoka kanisa la mavurunza iliyowasilishwa na mjumbe Rumisha Meta ambayo inahusu mwaliko wa sikukuu ya vijana ambayo itafanyika tarehe 1/08/2010 lengo la sikukuu likiwa ni kuchangia kwaya ya vijana waweze kurekodi album.

hivyo basi tulikubaliana kwamba kila mjumbe achange tsh5000 ili kusaidia kazi ya Mungu isonge mbele, na mchango huo uwasilishwe katika kikao kijacho cha tarehe 8/8/2010.

AMANI KWENU WAUNGWANA....

Friday, July 23, 2010

IT'S YOUR CAKE.. SO HAVE IT STEWART!!


Wajumbe jumapili kikao tusikose muda saa saba kamili mchana!!!


HAPPY BIRTHDAY STEWART CHILOLO

kwa niaba ya wanafamilia wa Familia Bora Association tunapenda kukupongeza kwa kuongeza mwaka mwingine katika maisha yako, tunaamini kabisa kwamba Mungu anakupenda na  anapenda uendelelea kumtumikia katika maisha haya so tunakutakia maisha mema yenye Baraka tele kila ulifanyalo likaende kufanikiwa na Mungu akupe haja ya moyo kwa kila utakalokuwa unamwomba.


HAPPY BIRTHBDAY KATIBU..

Tuesday, July 20, 2010

TOP TEN SUCCESS TIPS

1. PRAY BEFORE GOD

2. YOUR SUCCESS TO PROMISE YOURSELF

3. IMPROVE YOUR DECISION MAKING

4. LISTEN

5. BE POSITIVE

6. BE VOLUNTEER

7. BE CREATIVE

8. DO IMPORTANT THING FIRST

9. ACCEPT YOURSELF AS YOU ARE

10. BE SOCIAL


MUNGU IBARIKI TANZANIA.
MUNGU IBARIKI FAMILIA BORA

Amani kwenu Wajumbe!

naam wajumbe sina pasi na shaka ni wazima wa afya tele na mnaendelea vizuri katika kufanikisha maisha bora yanafikiwa kwa kila hali au vp!

nafuraha tele ndugu wajumbe kuwajulisha kwamba tumefanikiwa kufungua blog yetu ambayo itatusaidia katika suala zima la teknolojia habari na mawasiliano yaani (TEKNOHAMA).

haya wajumbe tuseme nini basi Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye upande wetu twende pamoja bila kuchoka mbele daima nyuma mwiko..!

kikao kijacho tarehe 25/07/2010 so tusikose ndugu wajumbe.