Sunday, March 6, 2011

AGENDA

  1. KUHUSU LOGO
TUNAMSHUKURU SANA BWANA KABALI KWA KUKAMILISHA ZOEZI ZIMA LA LOGO YA FAMILIA BORA...TUNAOMBA KIKAO KIJACHO TUJITAHIDI KUFIKA KWA WINGI ILI TUWEZE KUIONA IYO LOGO NA KUTOA MAPENDEKEZO KAMA YATAKUEPO

   2.  KUHUSU T-SHIRTS
TUNAMSHUKURU BWANA LACKFORD KWA KUMLETA MGENI AMBAYE AMETUPA MWANGAZA KIDOGO JUU YA MRADI WETU HUU WA MA T-SHIRT TUNAOMBA WAJUMBE MJITAHIDI KIKAO KIJACHO HILI TUWEZE KUFANIKISHA SHUGHULI HII KWA HARAKA

   3.  USAJILI WA KIKUNDI
TUNASIKITIKA SWALA LA USJILI LIMECHELEWA KIDOGO KUTOKANA NA MAMBO YALIYO JUU YA UWEZO BILA SHAKA TUTAPATA MAJIBU MAZURI KIKAO KIJACHO

   4.  KUHUSU ERICK
CHAMA KINAYOFURAHA KUMLUDISHA MWANACHAMA MWENZAO KUNDINI...TUNAOMBA USHIRIKIANO HUO UENDELEE ATA KWA SIKU ZA USONI

KIKAO CHA JUMAPILI YA TAREHE 6/03/2011

WAJUMBE WALIITAHIDI KUFIKA KWA WINGI SANA TUNASHUKURU KWA HILO

Saturday, November 27, 2010

HABARI ZENU WAJUMBE!!!!!!!

WADAU KAMA NAONA VILE MPANGO WETU UNAENDA KUFANIKIWA TUZIDI KUUOMBEA AU VP!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Friday, October 29, 2010

NAAM WAJUMBE!!!!!

habari zenu waungwana, ni matumaini yangu mpo gado kabisa na ikizingatiwa tarehe 31 tunaenda kufanya mabadiliko makubwa ya nchi yetu, naomba nitumie fursa hii kuwahimiza ndugu wajumbe kufanya kweli pasipo kuwa na hofu yoyote kuhakikisha kwamba kura yako moja inamchagua RAIS wa ukweli ambaye atajali maslahi ya nchi, wanachi na ya vijana pia au vp! so, stand up and go to vote!!!!

pia ndugu wajumbe harakati za kundi letu bado zinaendelea kama tulivyokubaliana kufanya biashara ya mavazi basi ni wajibu wetu kufanya utatifi wa kisayansi ili kwamba hili lengo letu litimie vizuri, unaombwa katika kikao kijacho uje na data za uhakika kuhusu hiyo business ili ikiwezekana mchakato uanze maramoja mara baada ya kumchagua RAIS makini.

kila la heri wajumbe katika uchaguzi huu nawaombea kwa Mungu awaongoze vema katika mpango mzima wa kuchagua viongozi wetu.

Friday, September 3, 2010

HABARI ZENU WAUNGWANA...



kama Mungu apendavyo ni imani yangu kwamba hamjambo kabisa mnaendelea vizuri na ujenzi wa taifa na wa maendeleo yetu pia au vp!

sa wandugu mnamo tarehe 05 septemba 2010 sehemu ikiwa lunch time tutakuwa na kikao kama kawaida.
tunaombwa tufike kwa wakati muda wa sita na nusu ili tuweze kuanza kwa wakati huku agenda zikiamuliwa vizuri.

nawatakia wikiend njema, lolote mkono wako utakalolifanya, lifanye kwa nguvu zako zote au vp!!!