Friday, September 3, 2010

HABARI ZENU WAUNGWANA...



kama Mungu apendavyo ni imani yangu kwamba hamjambo kabisa mnaendelea vizuri na ujenzi wa taifa na wa maendeleo yetu pia au vp!

sa wandugu mnamo tarehe 05 septemba 2010 sehemu ikiwa lunch time tutakuwa na kikao kama kawaida.
tunaombwa tufike kwa wakati muda wa sita na nusu ili tuweze kuanza kwa wakati huku agenda zikiamuliwa vizuri.

nawatakia wikiend njema, lolote mkono wako utakalolifanya, lifanye kwa nguvu zako zote au vp!!!

No comments: