Monday, March 7, 2011

SALAM ZA POLE

NAPENDA KUTOA SALAM ZA POLE KWA WASHABIKI WOTE WA TIMU KICHAA YA MANCHESTER UTD KWA KIPIGO CHA AIBU CHA MAGOLI 3-1 NA TIMU KIBONDE WA ARSENAL LIVERPOOL FC
POLENI SANA NDUGU ZETU NAJUA HAMKUA NA CKU NZURI APO JANA
JIANDAENI KWA KIPIGO KINGINE APO JUMAMOSI FA KATI YA MAN U NA ARSENAL

Sunday, March 6, 2011

WALIOUDHULIA KWENYE KIKAO TAREHE 06/03/2011

  1. STEWART
  2. RUMISHA
  3. ERIC
  4. KABALI
  5. JOHN
  6. LACKFORD
  7. MASAI
  8. SILVA
  9. MZEE WA MATELEPHONE(MAN U)

AGENDA

  1. KUHUSU LOGO
TUNAMSHUKURU SANA BWANA KABALI KWA KUKAMILISHA ZOEZI ZIMA LA LOGO YA FAMILIA BORA...TUNAOMBA KIKAO KIJACHO TUJITAHIDI KUFIKA KWA WINGI ILI TUWEZE KUIONA IYO LOGO NA KUTOA MAPENDEKEZO KAMA YATAKUEPO

   2.  KUHUSU T-SHIRTS
TUNAMSHUKURU BWANA LACKFORD KWA KUMLETA MGENI AMBAYE AMETUPA MWANGAZA KIDOGO JUU YA MRADI WETU HUU WA MA T-SHIRT TUNAOMBA WAJUMBE MJITAHIDI KIKAO KIJACHO HILI TUWEZE KUFANIKISHA SHUGHULI HII KWA HARAKA

   3.  USAJILI WA KIKUNDI
TUNASIKITIKA SWALA LA USJILI LIMECHELEWA KIDOGO KUTOKANA NA MAMBO YALIYO JUU YA UWEZO BILA SHAKA TUTAPATA MAJIBU MAZURI KIKAO KIJACHO

   4.  KUHUSU ERICK
CHAMA KINAYOFURAHA KUMLUDISHA MWANACHAMA MWENZAO KUNDINI...TUNAOMBA USHIRIKIANO HUO UENDELEE ATA KWA SIKU ZA USONI

KIKAO CHA JUMAPILI YA TAREHE 6/03/2011

WAJUMBE WALIITAHIDI KUFIKA KWA WINGI SANA TUNASHUKURU KWA HILO