Thursday, December 1, 2011

--PAMOJA TUTAKULA MEMA YA NCHI - -




Mambo vp wadau wa FABOA mnaendeleaje na shughuli za kila siku za ujenzi wa taifa letu, ni matumaini yangu hamjambo kabisa na kila kitu kinakwenda vizuri au vp . .ni jambo la furaha sana  huku wengine wakiitwa Baba wengine wameshatangaza nia na wengine wapo kwenye vitengo mbalimbali, thats good, Mungu anatupenda na anaipenda FABOA!

Sasa wadau, mwaka ndio huu unaisha na kwa kipindi chote kuanzia mwaka umeanza FABOA haijafanya jambo lolote la kujivunia kiukweli sijui tumshike nani kengele nadhani hakuna coz kila mtu alikuwa very busy with itz own stuff,. kama tulivyopeana taarifa kuhusu kikao cha jumapili hii tarehe 04 Disemba 2011 mnaombwa mfike bila kukosa ili tuzungumze kwa kina mustakabali mzima wa FABOA yetu kwani we stil have time to remake and rebirth it again, , tafadhali fika bila kukosa kwani kufika kwako ndio mafanikio ya FABOA.

Naomba kuwasilisha. Asante.